| Index: ios/chrome/app/strings/resources/ios_google_chrome_strings_sw.xtb
|
| diff --git a/ios/chrome/app/strings/resources/ios_google_chrome_strings_sw.xtb b/ios/chrome/app/strings/resources/ios_google_chrome_strings_sw.xtb
|
| index 2d190faf12dbb35a22797c2448220f9b64c4688b..e0c07ebc186c574a88ef4c3b3377556d50757d62 100644
|
| --- a/ios/chrome/app/strings/resources/ios_google_chrome_strings_sw.xtb
|
| +++ b/ios/chrome/app/strings/resources/ios_google_chrome_strings_sw.xtb
|
| @@ -1,18 +1,53 @@
|
| <?xml version="1.0" ?>
|
| <!DOCTYPE translationbundle>
|
| <translationbundle lang="sw">
|
| +<translation id="1326317727527857210">Ili upate vichupo kutoka kwenye vifaa vyako vingine, ingia katika Chrome.</translation>
|
| +<translation id="1685087038067318291">Gundua kurasa za wavuti zinazotumwa na vifaa vilivyo karibu. Bluetooth inapowashwa, Chrome inaweza kukusanya kurasa za wavuti zinazohusishwa na vifaa vilivyo karibu nawe na kuzituma bila maelezo yanayoweza kukutambulisha kwenye Google ili kupata kurasa muhimu zaidi. <ph name="BEGIN_LINK" />Pata maelezo zaidi<ph name="END_LINK" /></translation>
|
| <translation id="1759842336958782510">Chrome</translation>
|
| +<translation id="2147651015520127414">Chrome imethibitisha kuwa <ph name="ISSUER" /> ndiye mtoa cheti cha tovuti hii.</translation>
|
| <translation id="2334084861041072223">Hakimiliki <ph name="YEAR" /> Google Inc. Haki zote zimehifadhiwa.</translation>
|
| +<translation id="2347208864470321755">Kipengee hiki kikiwashwa, Chrome itatafsiri kurasa zilizoandikwa kwa lugha zingine kwa kutumia Google Tafsiri. <ph name="BEGIN_LINK" />Pata maelezo zaidi<ph name="END_LINK" /></translation>
|
| +<translation id="2441696206556358796">Ili kuhifadhi picha, gonga Mipangilio ili uruhusu Chrome itumie picha zako</translation>
|
| <translation id="2576431527583832481">Chrome imekuwa bora! Toleo jipya linapatikana.</translation>
|
| <translation id="257708665678654955">Ungependa Google Chrome ijitolee kutafsiri kurasa za <ph name="LANGUAGE_NAME" /> kutoka tovuti hii wakati ujao?</translation>
|
| +<translation id="3148434565183091099">Ingia katika Chrome ili upate alamisho zako kwenye vifaa vyako vyote.</translation>
|
| +<translation id="3148688391461398285">Pata hali bora ya utumiaji katika Chrome kulingana na mahali pako.</translation>
|
| <translation id="3167189358072330585">Akaunti yako haifanyi kazi kwenye Google Chrome. Tafadhali wasiliana na msimamizi wako wa kikoa au utumie Akaunti yako ya kawaida ya Google kuingia.</translation>
|
| +<translation id="3282568296779691940">Ingia katika Chrome</translation>
|
| +<translation id="3345341804167540816">Tumia Chrome Kila Mahali</translation>
|
| +<translation id="3601960512121168237">Unaipenda Chrome? <ph name="BEGIN_LINK" />Ihamishie kwenye kituo chako<ph name="END_LINK" /></translation>
|
| <translation id="3678774398092457402">Je, ungependa Chrome ihifadhi nenosiri lako la tovuti hii?</translation>
|
| +<translation id="384394811301901750">Google Chrome haiwezi kutumia kamera hivi sasa</translation>
|
| <translation id="3870154837782082782">Google Inc.</translation>
|
| +<translation id="3980220367029651214">Unabadilisha akaunti za kusawazisha kutoka <ph name="USER_EMAIL1" /> hadi <ph name="USER_EMAIL2" />. Data yako iliyopo ya Chrome inadhibitiwa na <ph name="DOMAIN" />. Hatua hii itafuta data yako kwenye kifaa hiki, lakini data yako itasalia katika <ph name="USER_EMAIL1" />.</translation>
|
| <translation id="3988789688219830639">Google Chrome haina uwezo wa kufikia picha au video zako. Washa ufikiaji katika Mipangilio ya iOS > Faragha > Picha.</translation>
|
| +<translation id="4099578267706723511">Saidia kuboresha Chrome kwa kutumia Google takwimu za matumizi na ripoti wakati wowote kivinjari hiki kinapoacha kufanya kazi.</translation>
|
| <translation id="415767770115540173">Pata hali bora ya Google katika Chrome kulingana na mahali ulipo.</translation>
|
| <translation id="424864128008805179">Ungependa kuondoka kwenye Chrome?</translation>
|
| +<translation id="4523886039239821078">Baadhi ya programu jalizi husababisha Chrome iache kufanya kazi. Tafadhali sanidua:</translation>
|
| +<translation id="4615174829807303908">Unaondoka kwenye akaunti inayodhibitiwa na <ph name="SIGNOUT_MANAGED_DOMAIN" />. Hatua hii itafuta data yako ya Chrome kwenye kifaa hiki, lakini data yako itasalia katika akaunti yako ya Google.</translation>
|
| +<translation id="5389212809648216794">Google Chrome imeshindwa kutumia kamera yako kwa sababu inatumiwa na programu nyingine</translation>
|
| +<translation id="5566557026214762153">Kwa kutumia programu hii, unakubaliana na <ph name="BEGIN_LINK" />Sheria na Masharti<ph name="END_LINK" /> ya Chrome.</translation>
|
| +<translation id="5639704535586432836">Fungua Mipangilio > Faragha > Kamera > Google Chrome na uwashe kamera.</translation>
|
| +<translation id="5642200033778930880">Google Chrome imeshindwa kutumia kamera yako katika hali ya Mwonekano wa Madirisha Mawili</translation>
|
| +<translation id="5703130498371792817">Je, unafurahia Chrome? <ph name="BEGIN_LINK" />Kadiria programu hii<ph name="END_LINK" /></translation>
|
| +<translation id="6036420186814142909">Google Chrome ina vipengele vinavyokusaidia kusimamia data yako ya intaneti na kasi unayoweza kupakia nayo kurasa za wavuti.
|
| +<ph name="BEGIN_LINK" />Pata maelezo zaidi <ph name="END_LINK" /></translation>
|
| +<translation id="6573431926118603307">Vichupo ulivyofungua katika Chrome kwenye vifaa vyako vingine vitaonekana hapa.</translation>
|
| <translation id="6600954340915313787">Imenakiliwa kwenye Chrome</translation>
|
| +<translation id="6648150602980899529">Unaingia kwa kutumia akaunti inayodhibitiwa na <ph name="DOMAIN" /> na kumpa msimamizi wa kikoa hicho udhibiti wa data yako ya Chrome. Data yako ya Chrome itahusishwa na akaunti hii daima. Kuondoka kwenye Chrome kutafuta data yako kwenye kifaa hiki, lakini itaendelea kuhifadhiwa katika Akaunti yako ya Google.</translation>
|
| <translation id="690638524486313356">Sheria na Masharti ya Google Chrome</translation>
|
| +<translation id="7165736900384873061">Anza kutumia kichanganuzi cha QR cha Google Chrome</translation>
|
| +<translation id="7172660552945675509">Kidokezo: <ph name="BEGIN_LINK" />Hamishia Chrome kwenye kituo chako<ph name="END_LINK" /></translation>
|
| +<translation id="7265369419224458312">Fikia vichupo ambavyo viko wazi kwenye kompyuta yako, papa hapa. Fungua Chrome kwenye kompyuta yako, nenda kwenye menyu, na uchague “Ingia katika Chrome…”</translation>
|
| +<translation id="728488472449859922">Washa kichanganuzi cha QR cha Google Chrome</translation>
|
| +<translation id="7311395200710390977">Ili upate ufikiaji wa haraka, <ph name="BEGIN_LINK" />hamishia Chrome kwenye kituo chako<ph name="END_LINK" /></translation>
|
| <translation id="7400722733683201933">Kuhusu Google Chrome</translation>
|
| +<translation id="7437998757836447326">Ondoka kwenye Chrome</translation>
|
| +<translation id="756809126120519699">Data ya Chrome imefutwa</translation>
|
| +<translation id="7626032353295482388">Karibu kwenye Chrome</translation>
|
| +<translation id="840168496893712993">Baadhi ya programu jalizi husababisha Chrome iache kufanya kazi. Tafadhali jaribu kuzisanidua.</translation>
|
| +<translation id="8459495907675268833">Data uliyochagua imeondolewa kwenye Chrome na kwenye vifaa vilivyosawazishwa. Huenda Akaunti yako ya Google ina aina nyingine za historia ya mambo uliyovinjari kama vile mambo uliyotafuta na shughuli kutoka huduma nyingine za Google katika history.google.com.</translation>
|
| <translation id="8540666473246803645">Google Chrome</translation>
|
| +<translation id="8606668294522778825">Huenda Google Chrome ikatumia huduma za wavuti kuboresha hali yako ya kuvinjari. Unaweza chagua kuzima huduma hizi. <ph name="BEGIN_LINK" />Pata maelezo zaidi<ph name="END_LINK" /></translation>
|
| </translationbundle>
|
|
|