Index: chrome/app/resources/terms/terms_sw.html |
diff --git a/chrome/app/resources/terms/terms_sw.html b/chrome/app/resources/terms/terms_sw.html |
index edfc6ff08c3c3dbf485d8d2cc5dc1c7186f0d485..0097702e7aea1433b7ed2d62880fe1fcbc70fb6a 100644 |
--- a/chrome/app/resources/terms/terms_sw.html |
+++ b/chrome/app/resources/terms/terms_sw.html |
@@ -58,7 +58,7 @@ function carry_tracking(obj) { |

7. Maudhui katika Huduma

7.1 Unaelewa kuwa maelezo yoyote (kama vile faili za data, maandishi, programu za kompyuta, faili za sauti au sauti zinginezo, picha, video na picha zinginezo) ambazo unaweza kuzifikia kama sehemu ya, au kupitia matumizi yako ya, Huduma ni jukumu la mtu ambaye maudhui kama hayo yalitoka. Maelezo yote kama hayo yanaitwa “Maudhui” hapa chini.

7.2 Unastahili kufahamu kuwa maudhui yanayowasilishwa kwako kama sehemu ya Huduma, yakiwemo lakini sio tu matangazo katika Huduma na Maudhui yaliyodhaminiwa katika Huduma huenda yakawa yamelindwa na haki za uvumbuzi zinazomilikiwa na wadhamini au watangazaji wanaotoa Maudhui hayo kwa Google (au kutoka kwa mtu mwingine au kampuni kwa niaba yao). Hauruhusiwi kubadilisha, kukodisha, kupangisha, kuuza, kusambaza au kuunda kazi kutokana na Maudhui haya (aidha sehemu yake au yote) isipokuwa uwe umeelezwa mahsusi kuwa unaweza kufanya hivyo na Google au wanaomiliki Maudhui hayo, katika mkataba tofauti.

7.3 Google inahifadhi haki (lakini haiwajibiki) kukagua kwanza, kutathmini, kualamisha, kuchuja, kubadilisha, kukataa au kuondoa Maudhui yoyote au yote kutoka kwenye Huduma yoyote. Kwa baadhi ya Huduma, Google inaweza kutoa zana za kuchuja na kuondoa maudhui waziwazi ya ngono. Zana hizi ni pamoja na mipangilio ya mapendeleo ya SafeSearch (tazama http://www.google.com/help/customize.html#safe). Zaidi ya hayo, kuna huduma na programu zinazouzwa za kuzuia mfiko kwa maudhui yanayokuchukiza.

7.3 Google inahifadhi haki (lakini haiwajibiki) kukagua kwanza, kutathmini, kualamisha, kuchuja, kubadilisha, kukataa au kuondoa Maudhui yoyote au yote kutoka kwenye Huduma yoyote. Kwa baadhi ya Huduma, Google inaweza kutoa zana za kuchuja na kuondoa maudhui waziwazi ya ngono. Zana hizi ni pamoja na mipangilio ya mapendeleo ya SafeSearch (tazama https://support.google.com/websearch/answer/510). Zaidi ya hayo, kuna huduma na programu zinazouzwa za kuzuia mfiko kwa maudhui yanayokuchukiza.

7.4 Unaelewa kuwa kwa kutumia Huduma unaweza kupokea Maudhui unayoyadhania kuwa ya kuchukiza, machafu au yasiyostahimilika na kuwa, katika swala hili, unatumia Huduma kwa thubutu yako mwenyewe.

7.5 Unakubali kuwa unawajibika peke yako kwa (na kuwa Google haina wajibu wowote kwako au mtu mwingine kwa) Maudhui yoyote utakayounda, kuwasilisha au kuonyesha unapotumia Huduma na kwa matokeo ya vitendo vyako (ikiwemo hasara yoyote au uharibifu ambao utaikumba Google) kwa kufanya hivyo.

8. Hakimilki mahsusi