OLD | NEW |
1 <!DOCTYPE HTML PUBLIC "-//W3C//DTD HTML 4.01 Transitional//EN" | 1 <!DOCTYPE HTML PUBLIC "-//W3C//DTD HTML 4.01 Transitional//EN" |
2 "http://www.w3.org/TR/html4/loose.dtd"> | 2 "http://www.w3.org/TR/html4/loose.dtd"> |
3 <html DIR="LTR"> | 3 <html DIR="LTR"> |
4 <head> | 4 <head> |
5 <meta http-equiv="Content-Type" content="text/html; charset=UTF-8"> | 5 <meta http-equiv="Content-Type" content="text/html; charset=UTF-8"> |
6 <link rel="icon" type="image/ico" href="/tools/dlpage/res/chrome/images/chrome-1
6.png"><title>Sheria na Masharti ya Google Chrome</title> | 6 <link rel="icon" type="image/ico" href="/tools/dlpage/res/chrome/images/chrome-1
6.png"><title>Sheria na Masharti ya Google Chrome</title> |
7 <style> | 7 <style> |
8 body { font-family:Arial; font-size:13px; } | 8 body { font-family:Arial; font-size:13px; } |
9 </style> | 9 </style> |
10 <script type="text/javascript"> | 10 <script type="text/javascript"> |
(...skipping 40 matching lines...) Expand 10 before | Expand all | Expand 10 after Loading... |
51 <p>5.1 Unakubali kutumia Huduma kwa madhumuni yanayokubaliwa na (a) Masharti na
(b) na sheria au kanuni yoyote inayotumika au desturi inayokubalika pakubwa au m
iongozo katika eneo la utawala linalohusika (zikiwemo sheria zozote kuhusu uhami
shaji wa data au programu kwenda na kutoka Marekani au nchi zingine husika).</p> | 51 <p>5.1 Unakubali kutumia Huduma kwa madhumuni yanayokubaliwa na (a) Masharti na
(b) na sheria au kanuni yoyote inayotumika au desturi inayokubalika pakubwa au m
iongozo katika eneo la utawala linalohusika (zikiwemo sheria zozote kuhusu uhami
shaji wa data au programu kwenda na kutoka Marekani au nchi zingine husika).</p> |
52 <p>5.2. Unakubali kuwa hautashiriki katika shughuli yoyote itakayoingilia au kuk
atiza Huduma (au seva na mitandao iliyounganishwa kwa Huduma).</p> | 52 <p>5.2. Unakubali kuwa hautashiriki katika shughuli yoyote itakayoingilia au kuk
atiza Huduma (au seva na mitandao iliyounganishwa kwa Huduma).</p> |
53 <p>5.3 Isipokuwa uwe umeruhusiwa mahsusi kufanya hivyo katika mkataba tofauti na
Google, unakubali kuwa hautanakili, kurudufu, kuuza, kufanya biashara au kuuza
tena Huduma kwa madhumuni yoyote.</p> | 53 <p>5.3 Isipokuwa uwe umeruhusiwa mahsusi kufanya hivyo katika mkataba tofauti na
Google, unakubali kuwa hautanakili, kurudufu, kuuza, kufanya biashara au kuuza
tena Huduma kwa madhumuni yoyote.</p> |
54 <p>5.4 Unakubali kuwa unawajibika peke yako kwa (na kuwa Google haina wajibu wow
ote kwako au mtu mwingine kwa) ukiukaji wowote wa wajibu wako chini ya Masharti
na kwa matokeo (ikiwemo hasara yoyote au uharibifu ambao utaikumba Google) ya uk
iukaji wowote kama huo.</p> | 54 <p>5.4 Unakubali kuwa unawajibika peke yako kwa (na kuwa Google haina wajibu wow
ote kwako au mtu mwingine kwa) ukiukaji wowote wa wajibu wako chini ya Masharti
na kwa matokeo (ikiwemo hasara yoyote au uharibifu ambao utaikumba Google) ya uk
iukaji wowote kama huo.</p> |
55 <p><strong>6. Faragha na maelezo yako ya kibinafsi</strong></p> | 55 <p><strong>6. Faragha na maelezo yako ya kibinafsi</strong></p> |
56 <p>6.1 Kwa maelezo kuhusu desturi za Google za ulinzi wa data, tafadhali soma se
ra ya faragha ya Google kwenye http://www.google.com/privacy.html. Sera hii inae
leza desturi za Google za ulinzi wa data, na kulinda faragha yako unapotumia Hud
uma.</p> | 56 <p>6.1 Kwa maelezo kuhusu desturi za Google za ulinzi wa data, tafadhali soma se
ra ya faragha ya Google kwenye http://www.google.com/privacy.html. Sera hii inae
leza desturi za Google za ulinzi wa data, na kulinda faragha yako unapotumia Hud
uma.</p> |
57 <p>Unakubali kutumia data yako kulingana na sera za faragha za Google.</p> | 57 <p>Unakubali kutumia data yako kulingana na sera za faragha za Google.</p> |
58 <p><strong>7. Maudhui katika Huduma</strong></p> | 58 <p><strong>7. Maudhui katika Huduma</strong></p> |
59 <p>7.1 Unaelewa kuwa maelezo yoyote (kama vile faili za data, maandishi, program
u za kompyuta, faili za sauti au sauti zinginezo, picha, video na picha zinginez
o) ambazo unaweza kuzifikia kama sehemu ya, au kupitia matumizi yako ya, Huduma
ni jukumu la mtu ambaye maudhui kama hayo yalitoka. Maelezo yote kama hayo yanai
twa “Maudhui” hapa chini.</p> | 59 <p>7.1 Unaelewa kuwa maelezo yoyote (kama vile faili za data, maandishi, program
u za kompyuta, faili za sauti au sauti zinginezo, picha, video na picha zinginez
o) ambazo unaweza kuzifikia kama sehemu ya, au kupitia matumizi yako ya, Huduma
ni jukumu la mtu ambaye maudhui kama hayo yalitoka. Maelezo yote kama hayo yanai
twa “Maudhui” hapa chini.</p> |
60 <p>7.2 Unastahili kufahamu kuwa maudhui yanayowasilishwa kwako kama sehemu ya Hu
duma, yakiwemo lakini sio tu matangazo katika Huduma na Maudhui yaliyodhaminiwa
katika Huduma huenda yakawa yamelindwa na haki za uvumbuzi zinazomilikiwa na wad
hamini au watangazaji wanaotoa Maudhui hayo kwa Google (au kutoka kwa mtu mwingi
ne au kampuni kwa niaba yao). Hauruhusiwi kubadilisha, kukodisha, kupangisha, ku
uza, kusambaza au kuunda kazi kutokana na Maudhui haya (aidha sehemu yake au yot
e) isipokuwa uwe umeelezwa mahsusi kuwa unaweza kufanya hivyo na Google au wanao
miliki Maudhui hayo, katika mkataba tofauti.</p> | 60 <p>7.2 Unastahili kufahamu kuwa maudhui yanayowasilishwa kwako kama sehemu ya Hu
duma, yakiwemo lakini sio tu matangazo katika Huduma na Maudhui yaliyodhaminiwa
katika Huduma huenda yakawa yamelindwa na haki za uvumbuzi zinazomilikiwa na wad
hamini au watangazaji wanaotoa Maudhui hayo kwa Google (au kutoka kwa mtu mwingi
ne au kampuni kwa niaba yao). Hauruhusiwi kubadilisha, kukodisha, kupangisha, ku
uza, kusambaza au kuunda kazi kutokana na Maudhui haya (aidha sehemu yake au yot
e) isipokuwa uwe umeelezwa mahsusi kuwa unaweza kufanya hivyo na Google au wanao
miliki Maudhui hayo, katika mkataba tofauti.</p> |
61 <p>7.3 Google inahifadhi haki (lakini haiwajibiki) kukagua kwanza, kutathmini, k
ualamisha, kuchuja, kubadilisha, kukataa au kuondoa Maudhui yoyote au yote kutok
a kwenye Huduma yoyote. Kwa baadhi ya Huduma, Google inaweza kutoa zana za kuchu
ja na kuondoa maudhui waziwazi ya ngono. Zana hizi ni pamoja na mipangilio ya ma
pendeleo ya SafeSearch (tazama http://www.google.com/help/customize.html#safe).
Zaidi ya hayo, kuna huduma na programu zinazouzwa za kuzuia mfiko kwa maudhui ya
nayokuchukiza.</p> | 61 <p>7.3 Google inahifadhi haki (lakini haiwajibiki) kukagua kwanza, kutathmini, k
ualamisha, kuchuja, kubadilisha, kukataa au kuondoa Maudhui yoyote au yote kutok
a kwenye Huduma yoyote. Kwa baadhi ya Huduma, Google inaweza kutoa zana za kuchu
ja na kuondoa maudhui waziwazi ya ngono. Zana hizi ni pamoja na mipangilio ya ma
pendeleo ya SafeSearch (tazama https://support.google.com/websearch/answer/510).
Zaidi ya hayo, kuna huduma na programu zinazouzwa za kuzuia mfiko kwa maudhui y
anayokuchukiza.</p> |
62 <p>7.4 Unaelewa kuwa kwa kutumia Huduma unaweza kupokea Maudhui unayoyadhania ku
wa ya kuchukiza, machafu au yasiyostahimilika na kuwa, katika swala hili, unatum
ia Huduma kwa thubutu yako mwenyewe.</p> | 62 <p>7.4 Unaelewa kuwa kwa kutumia Huduma unaweza kupokea Maudhui unayoyadhania ku
wa ya kuchukiza, machafu au yasiyostahimilika na kuwa, katika swala hili, unatum
ia Huduma kwa thubutu yako mwenyewe.</p> |
63 <p>7.5 Unakubali kuwa unawajibika peke yako kwa (na kuwa Google haina wajibu wow
ote kwako au mtu mwingine kwa) Maudhui yoyote utakayounda, kuwasilisha au kuonye
sha unapotumia Huduma na kwa matokeo ya vitendo vyako (ikiwemo hasara yoyote au
uharibifu ambao utaikumba Google) kwa kufanya hivyo.</p> | 63 <p>7.5 Unakubali kuwa unawajibika peke yako kwa (na kuwa Google haina wajibu wow
ote kwako au mtu mwingine kwa) Maudhui yoyote utakayounda, kuwasilisha au kuonye
sha unapotumia Huduma na kwa matokeo ya vitendo vyako (ikiwemo hasara yoyote au
uharibifu ambao utaikumba Google) kwa kufanya hivyo.</p> |
64 <p><strong>8. Hakimilki mahsusi</strong></p> | 64 <p><strong>8. Hakimilki mahsusi</strong></p> |
65 <p>8.1. Unatambua na kukubali kuwa Google (au watoa leseni wa Google) inamiliki
haki zote za kisheria, milki na maslahi katika na kwa Huduma, zikiwemo hakimilki
zozote za uvumbuzi zinazodumu katika Huduma (iwe haki hizo zimesajiliwa au la,
na popote ulimwenguni ambapo haki hizo zinadumu).</p> | 65 <p>8.1. Unatambua na kukubali kuwa Google (au watoa leseni wa Google) inamiliki
haki zote za kisheria, milki na maslahi katika na kwa Huduma, zikiwemo hakimilki
zozote za uvumbuzi zinazodumu katika Huduma (iwe haki hizo zimesajiliwa au la,
na popote ulimwenguni ambapo haki hizo zinadumu).</p> |
66 <p>8.2 Isipokuwa umekubaliana vinginevyo na Google kwa maandishi, hakuna chochot
e katika Masharti haya kinachokupatia haki ya kutumia majina ya biashara, chapa-
biashara, alama za huduma, nembo au majina ya vikoa vya Google, au vipengele vyo
vyote mahsusi vya chapa ya biashara. </p> | 66 <p>8.2 Isipokuwa umekubaliana vinginevyo na Google kwa maandishi, hakuna chochot
e katika Masharti haya kinachokupatia haki ya kutumia majina ya biashara, chapa-
biashara, alama za huduma, nembo au majina ya vikoa vya Google, au vipengele vyo
vyote mahsusi vya chapa ya biashara. </p> |
67 <p>8.3 Ikiwa umepewa haki mahsusi na Google ya kutumia yoyote ya vipengele hivi
katika mkataba tofauti ulioandikwa, basi unakubali kuwa matumizi yako ya kila ki
pengee kama hicho yatakuwa kulingana na mkataba huo, kanuni zozote za Masharti z
inazotumika na miongozo ya Google ya matumizi ya vipengele vya chapa ya biashara
kama inavyosasishwa mara kwa mara. Unaweza kutazama mwongozo huu kwenye wavuti
hapa http://www.google.com/permissions/guidelines.html (au URL nyingineyo itakay
otolewa na Google kwa madhumuni haya mara kwa mara).</p> | 67 <p>8.3 Ikiwa umepewa haki mahsusi na Google ya kutumia yoyote ya vipengele hivi
katika mkataba tofauti ulioandikwa, basi unakubali kuwa matumizi yako ya kila ki
pengee kama hicho yatakuwa kulingana na mkataba huo, kanuni zozote za Masharti z
inazotumika na miongozo ya Google ya matumizi ya vipengele vya chapa ya biashara
kama inavyosasishwa mara kwa mara. Unaweza kutazama mwongozo huu kwenye wavuti
hapa http://www.google.com/permissions/guidelines.html (au URL nyingineyo itakay
otolewa na Google kwa madhumuni haya mara kwa mara).</p> |
68 <p>8.4 Google inatambua na kukubali kuwa haipati haki, milki au maslahi yoyote k
utoka kwako (au watoa leseni wako) chini ya Masharti haya kwa Maudhui yoyote una
yowasilisha, kuchapisha au kuonyesha kwenye, au kupitia Huduma, zikiwemo hakimil
ki zozote za uvumbuzi zinazodumu katika Maudhui hayo (iwe haki hizo zimesajiliwa
au la, na popote ulimwenguni ambapo haki hizo zinadumu). Isipokuwa umekubaliana
vingine na Google katika maandishi, unakubali kuwa unawajibika kulinda na kutek
eleza haki hizo na kuwa Google haina wajibu wowote wa kufanya hivyo kwa niaba ya
ko.</p> | 68 <p>8.4 Google inatambua na kukubali kuwa haipati haki, milki au maslahi yoyote k
utoka kwako (au watoa leseni wako) chini ya Masharti haya kwa Maudhui yoyote una
yowasilisha, kuchapisha au kuonyesha kwenye, au kupitia Huduma, zikiwemo hakimil
ki zozote za uvumbuzi zinazodumu katika Maudhui hayo (iwe haki hizo zimesajiliwa
au la, na popote ulimwenguni ambapo haki hizo zinadumu). Isipokuwa umekubaliana
vingine na Google katika maandishi, unakubali kuwa unawajibika kulinda na kutek
eleza haki hizo na kuwa Google haina wajibu wowote wa kufanya hivyo kwa niaba ya
ko.</p> |
69 <p>8.5 Unakubali kuwa hautaondoa, kuficha au kubadilisha ilani zozote za hakimil
ki mahsusi (zikiwemo ilani za hakimilki na chapa-biashara) ambazo zimeambatishwa
au zilizo ndani ya Huduma.</p> | 69 <p>8.5 Unakubali kuwa hautaondoa, kuficha au kubadilisha ilani zozote za hakimil
ki mahsusi (zikiwemo ilani za hakimilki na chapa-biashara) ambazo zimeambatishwa
au zilizo ndani ya Huduma.</p> |
70 <p>8.6 Isipokuwa umepewa idhini mahsusi na Google kwa maandishi kufanya hivyo, u
nakubali kuwa katika kutumia Huduma, hautatumia chapa-biashara yoyote, alama za
huduma, jina la biashara au nembo ya kampuni au shirika lolote kwa njia ambayo i
naweza au inayonuiwa kuleta tashwishi kuhusu anayemiliki au mtumiaji aliyeidhini
shwa wa alama, majina au nembo kama hizi.</p> | 70 <p>8.6 Isipokuwa umepewa idhini mahsusi na Google kwa maandishi kufanya hivyo, u
nakubali kuwa katika kutumia Huduma, hautatumia chapa-biashara yoyote, alama za
huduma, jina la biashara au nembo ya kampuni au shirika lolote kwa njia ambayo i
naweza au inayonuiwa kuleta tashwishi kuhusu anayemiliki au mtumiaji aliyeidhini
shwa wa alama, majina au nembo kama hizi.</p> |
71 <p><strong>9. Leseni kutoka Google </strong></p> | 71 <p><strong>9. Leseni kutoka Google </strong></p> |
(...skipping 57 matching lines...) Expand 10 before | Expand all | Expand 10 after Loading... |
129 <p>19.5 Ikiwa mahakama yoyote ya sheria, iliyo na mamlaka ya kuamua kuhusu swala
hili, itaamua kuwa kanuni yoyote ya Masharti haya sio halali, basi kanuni hiyo
itaondolewa kwenye Masharti bila kuathiri Masharti yaliyosalia. Kanuni za Mashar
ti zilizosalia zitaendelea kuwa halali na kutumika.</p> | 129 <p>19.5 Ikiwa mahakama yoyote ya sheria, iliyo na mamlaka ya kuamua kuhusu swala
hili, itaamua kuwa kanuni yoyote ya Masharti haya sio halali, basi kanuni hiyo
itaondolewa kwenye Masharti bila kuathiri Masharti yaliyosalia. Kanuni za Mashar
ti zilizosalia zitaendelea kuwa halali na kutumika.</p> |
130 <p>19.6 Unatambua na kukubali kuwa kila mshirika wa kundi la kampuni ambalo Goog
le ndio mmiliki atakuwa mfaidi wa nje wa Masharti haya na kuwa kampuni zingine k
ama hizo zitakuwa na haki ya kutekeleza moja kwa moja, na kutegemea, kanuni zozo
te za Masharti zinazokidhi manufaa juu (au haki kwa faida) yao. Isipokuwa hawa,
hakuna mtu au kampuni nyinginee itakayokuwa mfaidi wa nje wa Masharti haya.</p> | 130 <p>19.6 Unatambua na kukubali kuwa kila mshirika wa kundi la kampuni ambalo Goog
le ndio mmiliki atakuwa mfaidi wa nje wa Masharti haya na kuwa kampuni zingine k
ama hizo zitakuwa na haki ya kutekeleza moja kwa moja, na kutegemea, kanuni zozo
te za Masharti zinazokidhi manufaa juu (au haki kwa faida) yao. Isipokuwa hawa,
hakuna mtu au kampuni nyinginee itakayokuwa mfaidi wa nje wa Masharti haya.</p> |
131 <p>19.7 Masharti, na uhusiano wako na Google chini ya Masharti hayo, yatasimamiw
a na sheria za Jimbo la California bila kuzingatia kanuni zake kwa sheria pinzan
i. Wewe na Google mnakubali kutii mamlaka ya mahakama zilizo katika wilaya ya Sa
nta Clara, California peke yake kutatua swala lolote la kisheria litakalotokea k
utokana na Masharti haya. Licha ya hayo, unakubali kuwa Google bado itaruhusiwa
kufanya maombi ya suluhu za vizuizi (au aina sawa ya suluhu la dharura la kisher
ia)</p> | 131 <p>19.7 Masharti, na uhusiano wako na Google chini ya Masharti hayo, yatasimamiw
a na sheria za Jimbo la California bila kuzingatia kanuni zake kwa sheria pinzan
i. Wewe na Google mnakubali kutii mamlaka ya mahakama zilizo katika wilaya ya Sa
nta Clara, California peke yake kutatua swala lolote la kisheria litakalotokea k
utokana na Masharti haya. Licha ya hayo, unakubali kuwa Google bado itaruhusiwa
kufanya maombi ya suluhu za vizuizi (au aina sawa ya suluhu la dharura la kisher
ia)</p> |
132 <p><strong>20. Masharti ya Ziada kwa Viendelezi vya Google Chrome</strong></p> | 132 <p><strong>20. Masharti ya Ziada kwa Viendelezi vya Google Chrome</strong></p> |
133 <p>20.1 Masharti katika sehemu hii yanatumika ukisakinisha viendelezi kwenye nak
ala yako ya Google Chrome. Viendelezi ni programu ndogo, zilizoundwa na Google a
u watu wengine, zinazoweza kubadilisha au kuboresha utendaji wa Google Chrome. V
iendelezi vinaweza kuwa mfiko zaidi kwa kivinjari chako au kompyuta yako kuliko
kurasa za wavuti za kawaida, ukiwemo uwezo wa kusoma na kubadilisha sehemu ya da
ta yako ya kibinafsi.</p> | 133 <p>20.1 Masharti katika sehemu hii yanatumika ukisakinisha viendelezi kwenye nak
ala yako ya Google Chrome. Viendelezi ni programu ndogo, zilizoundwa na Google a
u watu wengine, zinazoweza kubadilisha au kuboresha utendaji wa Google Chrome. V
iendelezi vinaweza kuwa mfiko zaidi kwa kivinjari chako au kompyuta yako kuliko
kurasa za wavuti za kawaida, ukiwemo uwezo wa kusoma na kubadilisha sehemu ya da
ta yako ya kibinafsi.</p> |
134 <p>20.2 Mara kwa mara, Google Chrome inaweza kuchunguza seva za mbali (zilizopan
gishwa na Google au wengine) kupata sasisho kwa viendelezi, yakiwemo lakini sio
tu marekebisho ya hitilafu au kuboresha utendaji. Unakubali kuwa sasisho kama hi
zo zitaitishwa, kupakuliwa na kusakinishwa bila ya kukuarifu tena.</p> | 134 <p>20.2 Mara kwa mara, Google Chrome inaweza kuchunguza seva za mbali (zilizopan
gishwa na Google au wengine) kupata sasisho kwa viendelezi, yakiwemo lakini sio
tu marekebisho ya hitilafu au kuboresha utendaji. Unakubali kuwa sasisho kama hi
zo zitaitishwa, kupakuliwa na kusakinishwa bila ya kukuarifu tena.</p> |
135 <p>20.3 Mara kwa mara, Google inaweza kugundua kiendelezi kinachokiuka masharti
ya Google kwa wasanidi programu au mikataba ya kisheria, sheria, kanuni au sera
zingine. Google Chrome itapakua orodha ya viendelezi kama hivyo kutoka kwenye se
va za Google. Unakubali kuwa Google inaweza kulemaza au kuondoa kwa mbali viende
lezi kama hivyo kutoka kwenye mifumo ya watumizi kwa hiari yake pekee. </p> | 135 <p>20.3 Mara kwa mara, Google inaweza kugundua kiendelezi kinachokiuka masharti
ya Google kwa wasanidi programu au mikataba ya kisheria, sheria, kanuni au sera
zingine. Google Chrome itapakua orodha ya viendelezi kama hivyo kutoka kwenye se
va za Google. Unakubali kuwa Google inaweza kulemaza au kuondoa kwa mbali viende
lezi kama hivyo kutoka kwenye mifumo ya watumizi kwa hiari yake pekee. </p> |
136 <p>Tarehe 20 Oktoba, 2009</p> | 136 <p>Tarehe 20 Oktoba, 2009</p> |
137 </body> | 137 </body> |
138 </html> | 138 </html> |
OLD | NEW |