Chromium Code Reviews
chromiumcodereview-hr@appspot.gserviceaccount.com (chromiumcodereview-hr) | Please choose your nickname with Settings | Help | Chromium Project | Gerrit Changes | Sign out
(742)

Side by Side Diff: components/resources/terms/terms_sw.html

Issue 1679283002: Componentize Chrome terms of service, Accept-Languages & default encoding. (Closed) Base URL: https://chromium.googlesource.com/chromium/src.git@master
Patch Set: Rebase && use a qualified include for the new file Created 4 years, 10 months ago
Use n/p to move between diff chunks; N/P to move between comments. Draft comments are only viewable by you.
Jump to:
View unified diff | Download patch
« no previous file with comments | « components/resources/terms/terms_sv.html ('k') | components/resources/terms/terms_ta.html » ('j') | no next file with comments »
Toggle Intra-line Diffs ('i') | Expand Comments ('e') | Collapse Comments ('c') | Show Comments Hide Comments ('s')
OLDNEW
1 <!DOCTYPE HTML PUBLIC "-//W3C//DTD HTML 4.01 Transitional//EN" 1 <!DOCTYPE HTML PUBLIC "-//W3C//DTD HTML 4.01 Transitional//EN"
2 "http://www.w3.org/TR/html4/loose.dtd"> 2 "http://www.w3.org/TR/html4/loose.dtd">
3 <html DIR="LTR"> 3 <html DIR="LTR">
4 <head> 4 <head>
5 <meta http-equiv="Content-Type" content="text/html; charset=UTF-8"> 5 <meta http-equiv="Content-Type" content="text/html; charset=UTF-8">
6 <link rel="icon" type="image/ico" href="/tools/dlpage/res/chrome/images/chrome-1 6.png"><title>Sheria na Masharti ya Google Chrome</title> 6 <link rel="icon" type="image/ico" href="/tools/dlpage/res/chrome/images/chrome-1 6.png"><title>Sheria na Masharti ya Google Chrome</title>
7 <style> 7 <style>
8 body { font-family:Arial; font-size:13px; } 8 body { font-family:Arial; font-size:13px; }
9 </style> 9 </style>
10 <script type="text/javascript"> 10 <script type="text/javascript">
(...skipping 118 matching lines...) Expand 10 before | Expand all | Expand 10 after
129 <p>19.5 Ikiwa mahakama yoyote ya sheria, iliyo na mamlaka ya kuamua kuhusu swala hili, itaamua kuwa kanuni yoyote ya Masharti haya sio halali, basi kanuni hiyo itaondolewa kwenye Masharti bila kuathiri Masharti yaliyosalia. Kanuni za Mashar ti zilizosalia zitaendelea kuwa halali na kutumika.</p> 129 <p>19.5 Ikiwa mahakama yoyote ya sheria, iliyo na mamlaka ya kuamua kuhusu swala hili, itaamua kuwa kanuni yoyote ya Masharti haya sio halali, basi kanuni hiyo itaondolewa kwenye Masharti bila kuathiri Masharti yaliyosalia. Kanuni za Mashar ti zilizosalia zitaendelea kuwa halali na kutumika.</p>
130 <p>19.6 Unatambua na kukubali kuwa kila mshirika wa kundi la kampuni ambalo Goog le ndio mmiliki atakuwa mfaidi wa nje wa Masharti haya na kuwa kampuni zingine k ama hizo zitakuwa na haki ya kutekeleza moja kwa moja, na kutegemea, kanuni zozo te za Masharti zinazokidhi manufaa juu (au haki kwa faida) yao. Isipokuwa hawa, hakuna mtu au kampuni nyinginee itakayokuwa mfaidi wa nje wa Masharti haya.</p> 130 <p>19.6 Unatambua na kukubali kuwa kila mshirika wa kundi la kampuni ambalo Goog le ndio mmiliki atakuwa mfaidi wa nje wa Masharti haya na kuwa kampuni zingine k ama hizo zitakuwa na haki ya kutekeleza moja kwa moja, na kutegemea, kanuni zozo te za Masharti zinazokidhi manufaa juu (au haki kwa faida) yao. Isipokuwa hawa, hakuna mtu au kampuni nyinginee itakayokuwa mfaidi wa nje wa Masharti haya.</p>
131 <p>19.7 Masharti, na uhusiano wako na Google chini ya Masharti hayo, yatasimamiw a na sheria za Jimbo la California bila kuzingatia kanuni zake kwa sheria pinzan i. Wewe na Google mnakubali kutii mamlaka ya mahakama zilizo katika wilaya ya Sa nta Clara, California peke yake kutatua swala lolote la kisheria litakalotokea k utokana na Masharti haya. Licha ya hayo, unakubali kuwa Google bado itaruhusiwa kufanya maombi ya suluhu za vizuizi (au aina sawa ya suluhu la dharura la kisher ia)</p> 131 <p>19.7 Masharti, na uhusiano wako na Google chini ya Masharti hayo, yatasimamiw a na sheria za Jimbo la California bila kuzingatia kanuni zake kwa sheria pinzan i. Wewe na Google mnakubali kutii mamlaka ya mahakama zilizo katika wilaya ya Sa nta Clara, California peke yake kutatua swala lolote la kisheria litakalotokea k utokana na Masharti haya. Licha ya hayo, unakubali kuwa Google bado itaruhusiwa kufanya maombi ya suluhu za vizuizi (au aina sawa ya suluhu la dharura la kisher ia)</p>
132 <p><strong>20. Masharti ya Ziada kwa Viendelezi vya Google Chrome</strong></p> 132 <p><strong>20. Masharti ya Ziada kwa Viendelezi vya Google Chrome</strong></p>
133 <p>20.1 Masharti katika sehemu hii yanatumika ukisakinisha viendelezi kwenye nak ala yako ya Google Chrome. Viendelezi ni programu ndogo, zilizoundwa na Google a u watu wengine, zinazoweza kubadilisha au kuboresha utendaji wa Google Chrome. V iendelezi vinaweza kuwa mfiko zaidi kwa kivinjari chako au kompyuta yako kuliko kurasa za wavuti za kawaida, ukiwemo uwezo wa kusoma na kubadilisha sehemu ya da ta yako ya kibinafsi.</p> 133 <p>20.1 Masharti katika sehemu hii yanatumika ukisakinisha viendelezi kwenye nak ala yako ya Google Chrome. Viendelezi ni programu ndogo, zilizoundwa na Google a u watu wengine, zinazoweza kubadilisha au kuboresha utendaji wa Google Chrome. V iendelezi vinaweza kuwa mfiko zaidi kwa kivinjari chako au kompyuta yako kuliko kurasa za wavuti za kawaida, ukiwemo uwezo wa kusoma na kubadilisha sehemu ya da ta yako ya kibinafsi.</p>
134 <p>20.2 Mara kwa mara, Google Chrome inaweza kuchunguza seva za mbali (zilizopan gishwa na Google au wengine) kupata sasisho kwa viendelezi, yakiwemo lakini sio tu marekebisho ya hitilafu au kuboresha utendaji. Unakubali kuwa sasisho kama hi zo zitaitishwa, kupakuliwa na kusakinishwa bila ya kukuarifu tena.</p> 134 <p>20.2 Mara kwa mara, Google Chrome inaweza kuchunguza seva za mbali (zilizopan gishwa na Google au wengine) kupata sasisho kwa viendelezi, yakiwemo lakini sio tu marekebisho ya hitilafu au kuboresha utendaji. Unakubali kuwa sasisho kama hi zo zitaitishwa, kupakuliwa na kusakinishwa bila ya kukuarifu tena.</p>
135 <p>20.3 Mara kwa mara, Google inaweza kugundua kiendelezi kinachokiuka masharti ya Google kwa wasanidi programu au mikataba ya kisheria, sheria, kanuni au sera zingine. Google Chrome itapakua orodha ya viendelezi kama hivyo kutoka kwenye se va za Google. Unakubali kuwa Google inaweza kulemaza au kuondoa kwa mbali viende lezi kama hivyo kutoka kwenye mifumo ya watumizi kwa hiari yake pekee. </p> 135 <p>20.3 Mara kwa mara, Google inaweza kugundua kiendelezi kinachokiuka masharti ya Google kwa wasanidi programu au mikataba ya kisheria, sheria, kanuni au sera zingine. Google Chrome itapakua orodha ya viendelezi kama hivyo kutoka kwenye se va za Google. Unakubali kuwa Google inaweza kulemaza au kuondoa kwa mbali viende lezi kama hivyo kutoka kwenye mifumo ya watumizi kwa hiari yake pekee. </p>
136 <p>Tarehe 20 Oktoba, 2009</p> 136 <p>Tarehe 20 Oktoba, 2009</p>
137 </body> 137 </body>
138 </html> 138 </html>
OLDNEW
« no previous file with comments | « components/resources/terms/terms_sv.html ('k') | components/resources/terms/terms_ta.html » ('j') | no next file with comments »

Powered by Google App Engine
This is Rietveld 408576698