Chromium Code Reviews
chromiumcodereview-hr@appspot.gserviceaccount.com (chromiumcodereview-hr) | Please choose your nickname with Settings | Help | Chromium Project | Gerrit Changes | Sign out
(18)

Side by Side Diff: chrome/app/resources/terms/terms_sw.html

Issue 1679283002: Componentize Chrome terms of service, Accept-Languages & default encoding. (Closed) Base URL: https://chromium.googlesource.com/chromium/src.git@master
Patch Set: Rebase && use a qualified include for the new file Created 4 years, 10 months ago
Use n/p to move between diff chunks; N/P to move between comments. Draft comments are only viewable by you.
Jump to:
View unified diff | Download patch
« no previous file with comments | « chrome/app/resources/terms/terms_sv.html ('k') | chrome/app/resources/terms/terms_ta.html » ('j') | no next file with comments »
Toggle Intra-line Diffs ('i') | Expand Comments ('e') | Collapse Comments ('c') | Show Comments Hide Comments ('s')
OLDNEW
(Empty)
1 <!DOCTYPE HTML PUBLIC "-//W3C//DTD HTML 4.01 Transitional//EN"
2 "http://www.w3.org/TR/html4/loose.dtd">
3 <html DIR="LTR">
4 <head>
5 <meta http-equiv="Content-Type" content="text/html; charset=UTF-8">
6 <link rel="icon" type="image/ico" href="/tools/dlpage/res/chrome/images/chrome-1 6.png"><title>Sheria na Masharti ya Google Chrome</title>
7 <style>
8 body { font-family:Arial; font-size:13px; }
9 </style>
10 <script type="text/javascript">
11 function carry_tracking(obj) {
12 var s = '(\\?.*)';
13 var regex = new RegExp(s);
14 var results = regex.exec(window.location.href);
15 if (results != null) {
16 obj.href = obj.href + results[1];
17 } else {
18 s2 = 'intl/([^/]*)';
19 regex2 = new RegExp(s2);
20 results2 = regex2.exec(window.location.href);
21 if (results2 != null) {
22 obj.href = obj.href + '?hl=' + results2[1];
23 }
24 }
25 }
26 </script></head>
27
28 <body>
29 <h2>Sheria na Masharti ya Google Chrome</h2>
30 <p>Sheria na Masharti haya yanatumika kwa toleo la hati fumbo la kutekelezwa la Google Chrome. Hati fumbo asili ya Google </p>
31 <p><strong>1. Uhusiano wako na Google </strong></p>
32 <p>1.1 Matumizi yako ya bidhaa, programu, huduma na tovuti za Google (kwa pamoja zikiitwa "Huduma" katika andiko hili na pasipo kujumuisha huduma zozote zinazot olewa kwako na Google chini ya mktaba tofauti ulioandikwa) yako chini ya mashart i ya mkataba wa kisheria kati yako na Google. “Google” inamaanisha Google Inc., ambayo ofisi yake kuu iko 1600 Amphitheatre Parkway, Mountain View, CA 94043, Ma rekani. Andiko hili linaeleza jinsi mktaba ulivyo, na kuweka baadhi ya masharti ya mkataba huo.</p>
33 <p>1.2. Isipokuwa iwe imekubaliwa vingine kwa maandishi na Google, mkataba wako na Google utajumuisha kila wakati, kwa uchache, sheria na masharti yaliyowekwa k atika andiko hili. Haya yanaitwa “Masharti ya Kijumla” hapa chini. Leseni za pro gramu huria kwa hati fumbo asili za Google Chrome ni mikataba tofauti iliyoandik wa. Kadri leseni za programu huria zinavyochukua nafasi ya Masharti haya ya Kiju mla, leseni za programu huria zinatawala mktaba wako na Google kwa matumizi ya G oogle Chrome au vipengee mahsusi vya Google Chrome vilivyojumuishwa.</p>
34 <p>1.3 Mkataba wako na Google pia utajumuisha masharti ya Arifa zozote za Kisher ia zinazohusika na Huduma, pamoja na Masharti ya Kijumla. Haya yote yanaitwa “Ma sharti ya Ziada” hapa chini. Wakati Masharti ya Ziada yanatumika kwa Huduma, uta weza kuyapata na kuyasoma aidha ndani ya, au kupitia matumizi yako ya Huduma hiy o.</p>
35 <p>1.4 Masharti ya Kijumla, pamoja na Masharti ya Ziada, ni mkataba unaowajibish a kisheria kati yako na Google kuhusiana na matumizi yako ya Huduma. Ni muhimu k wako kuchukua wakati na kuyasoma kwa makini. Kwa pamoja, mkataba huu wa kisheria unaitwa “Masharti” hapo chini.</p>
36 <p>1.5 Ikiwa kuna mkinzano wowote kati ya Masharti ya Ziada na tuseme Masharti y a Jumla yanavyosema, basi Masharti ya Ziada yatachukua nafasi ya kwanza kuhusian a na Huduma hiyo.</p>
37 <p><strong>2. Kukubali Masharti</strong></p>
38 <p>2.1 Ili kutumia Huduma, sharti ukubali Masharti kwanza. Huwezi kutumia Huduma usipokubali Masharti.</p>
39 <p>2.2 Unaweza kukubali Masharti kwa:</p>
40 <p>(A) kubofya ili kukubali Masharti, wakati chaguo hili linatolewa kwano na Goo gle katika kiolesura cha mtumiaji cha Huduma yoyote; au</p>
41 <p>(B) kwa kutumia Huduma zenyewe haswa. Katika hali hii, unaelewa na kukubali k uwa Google itachukulia matumizi yako ya Huduma kama kukubali kwa Masharti kuanzi a hapo na kuendelea.</p>
42 <p><strong>3. Lugha ya Masharti </strong></p>
43 <p>3.1 Ambapo Google imekupatia tafsiri ya toleo la Kiingereza la Masharti, basi unakubali kuwa tafsiri hiyo imetolewa kwa manufaa yako tu na kuwa toleo la Mash arti la lugha ya Kiingereza litasimamia uhusiana wako na Google.</p>
44 <p>3.2 Ikiwa kuna mkinzano wowote kati ya toleo la lugha ya Kiingereza la Mashar ti lisemavyo na tafsiri isemavyo, basi toleo la lugha ya Kiingereza litachukua n afasi ya kwanza.</p>
45 <p><strong>4. Utoaji Huduma wa Google</strong></p>
46 <p>4.1 Google ina biashara inazomiliki na huluki za kisheria inazoshirikishwa na zo ulimwenguni kote (“Kampuni Google inazomiliki na Washirika”). Wakati mwingine , kampuni hizi zitakuwa zikitoa Huduma kwako kwa niaba yake Google. Unatambua na kukubali kuwa Kampuni Google inazomiliki na Washirika wake watakuwa na haki ya kutoa Huduma kwako.</p>
47 <p>4.2 Google huwa inavumbua kila wakati ili kutoa hali nzuri iwezekanavyo kwa w atumiaji wake. Unatambua na kukubali kuwa muundo na aina ya Huduma ambazo Google inatoa zinaweza kubadilika mara kwa mara bila yako kuarifiwa awali.</p>
48 <p>4.3 Kama sehemu ya uvumbuzi wake wa kila wakati, unatambua na kukubali kuwa G oogle inaweza kuacha (kabisa au kwa muda) kutoa Huduma (au vipengele vyovyote ka tika Huduma) kwako au kwa watumiaji kijumla kwa hiari ya Google peke yake, bila kutoa ilani yoyote kwako. Unaweza kuacha kutumia Huduma wakati wowote ule. Sio s harti uijulishe Google mahsusi unapoacha kutumia Huduma.</p>
49 <p>4.4 Unatambua na kukubali kuwa ikiwa Google italemaza mfiko wako kwa akaunti yako, unaweza kuzuiwa usipate huduma, maelezo ya akaunti yako au au faili zozote au maudhui menginyo yaliyo ndani ya akaunti yako.</p>
50 <p><strong>5. Matumizi yako ya Huduma</strong></p>
51 <p>5.1 Unakubali kutumia Huduma kwa madhumuni yanayokubaliwa na (a) Masharti na (b) na sheria au kanuni yoyote inayotumika au desturi inayokubalika pakubwa au m iongozo katika eneo la utawala linalohusika (zikiwemo sheria zozote kuhusu uhami shaji wa data au programu kwenda na kutoka Marekani au nchi zingine husika).</p>
52 <p>5.2. Unakubali kuwa hautashiriki katika shughuli yoyote itakayoingilia au kuk atiza Huduma (au seva na mitandao iliyounganishwa kwa Huduma).</p>
53 <p>5.3 Isipokuwa uwe umeruhusiwa mahsusi kufanya hivyo katika mkataba tofauti na Google, unakubali kuwa hautanakili, kurudufu, kuuza, kufanya biashara au kuuza tena Huduma kwa madhumuni yoyote.</p>
54 <p>5.4 Unakubali kuwa unawajibika peke yako kwa (na kuwa Google haina wajibu wow ote kwako au mtu mwingine kwa) ukiukaji wowote wa wajibu wako chini ya Masharti na kwa matokeo (ikiwemo hasara yoyote au uharibifu ambao utaikumba Google) ya uk iukaji wowote kama huo.</p>
55 <p><strong>6. Faragha na maelezo yako ya kibinafsi</strong></p>
56 <p>6.1 Kwa maelezo kuhusu desturi za Google za ulinzi wa data, tafadhali soma se ra ya faragha ya Google kwenye http://www.google.com/privacy.html. Sera hii inae leza desturi za Google za ulinzi wa data, na kulinda faragha yako unapotumia Hud uma.</p>
57 <p>Unakubali kutumia data yako kulingana na sera za faragha za Google.</p>
58 <p><strong>7. Maudhui katika Huduma</strong></p>
59 <p>7.1 Unaelewa kuwa maelezo yoyote (kama vile faili za data, maandishi, program u za kompyuta, faili za sauti au sauti zinginezo, picha, video na picha zinginez o) ambazo unaweza kuzifikia kama sehemu ya, au kupitia matumizi yako ya, Huduma ni jukumu la mtu ambaye maudhui kama hayo yalitoka. Maelezo yote kama hayo yanai twa “Maudhui” hapa chini.</p>
60 <p>7.2 Unastahili kufahamu kuwa maudhui yanayowasilishwa kwako kama sehemu ya Hu duma, yakiwemo lakini sio tu matangazo katika Huduma na Maudhui yaliyodhaminiwa katika Huduma huenda yakawa yamelindwa na haki za uvumbuzi zinazomilikiwa na wad hamini au watangazaji wanaotoa Maudhui hayo kwa Google (au kutoka kwa mtu mwingi ne au kampuni kwa niaba yao). Hauruhusiwi kubadilisha, kukodisha, kupangisha, ku uza, kusambaza au kuunda kazi kutokana na Maudhui haya (aidha sehemu yake au yot e) isipokuwa uwe umeelezwa mahsusi kuwa unaweza kufanya hivyo na Google au wanao miliki Maudhui hayo, katika mkataba tofauti.</p>
61 <p>7.3 Google inahifadhi haki (lakini haiwajibiki) kukagua kwanza, kutathmini, k ualamisha, kuchuja, kubadilisha, kukataa au kuondoa Maudhui yoyote au yote kutok a kwenye Huduma yoyote. Kwa baadhi ya Huduma, Google inaweza kutoa zana za kuchu ja na kuondoa maudhui waziwazi ya ngono. Zana hizi ni pamoja na mipangilio ya ma pendeleo ya SafeSearch (tazama https://support.google.com/websearch/answer/510). Zaidi ya hayo, kuna huduma na programu zinazouzwa za kuzuia mfiko kwa maudhui y anayokuchukiza.</p>
62 <p>7.4 Unaelewa kuwa kwa kutumia Huduma unaweza kupokea Maudhui unayoyadhania ku wa ya kuchukiza, machafu au yasiyostahimilika na kuwa, katika swala hili, unatum ia Huduma kwa thubutu yako mwenyewe.</p>
63 <p>7.5 Unakubali kuwa unawajibika peke yako kwa (na kuwa Google haina wajibu wow ote kwako au mtu mwingine kwa) Maudhui yoyote utakayounda, kuwasilisha au kuonye sha unapotumia Huduma na kwa matokeo ya vitendo vyako (ikiwemo hasara yoyote au uharibifu ambao utaikumba Google) kwa kufanya hivyo.</p>
64 <p><strong>8. Hakimilki mahsusi</strong></p>
65 <p>8.1. Unatambua na kukubali kuwa Google (au watoa leseni wa Google) inamiliki haki zote za kisheria, milki na maslahi katika na kwa Huduma, zikiwemo hakimilki zozote za uvumbuzi zinazodumu katika Huduma (iwe haki hizo zimesajiliwa au la, na popote ulimwenguni ambapo haki hizo zinadumu).</p>
66 <p>8.2 Isipokuwa umekubaliana vinginevyo na Google kwa maandishi, hakuna chochot e katika Masharti haya kinachokupatia haki ya kutumia majina ya biashara, chapa- biashara, alama za huduma, nembo au majina ya vikoa vya Google, au vipengele vyo vyote mahsusi vya chapa ya biashara. </p>
67 <p>8.3 Ikiwa umepewa haki mahsusi na Google ya kutumia yoyote ya vipengele hivi katika mkataba tofauti ulioandikwa, basi unakubali kuwa matumizi yako ya kila ki pengee kama hicho yatakuwa kulingana na mkataba huo, kanuni zozote za Masharti z inazotumika na miongozo ya Google ya matumizi ya vipengele vya chapa ya biashara kama inavyosasishwa mara kwa mara. Unaweza kutazama mwongozo huu kwenye wavuti hapa http://www.google.com/permissions/guidelines.html (au URL nyingineyo itakay otolewa na Google kwa madhumuni haya mara kwa mara).</p>
68 <p>8.4 Google inatambua na kukubali kuwa haipati haki, milki au maslahi yoyote k utoka kwako (au watoa leseni wako) chini ya Masharti haya kwa Maudhui yoyote una yowasilisha, kuchapisha au kuonyesha kwenye, au kupitia Huduma, zikiwemo hakimil ki zozote za uvumbuzi zinazodumu katika Maudhui hayo (iwe haki hizo zimesajiliwa au la, na popote ulimwenguni ambapo haki hizo zinadumu). Isipokuwa umekubaliana vingine na Google katika maandishi, unakubali kuwa unawajibika kulinda na kutek eleza haki hizo na kuwa Google haina wajibu wowote wa kufanya hivyo kwa niaba ya ko.</p>
69 <p>8.5 Unakubali kuwa hautaondoa, kuficha au kubadilisha ilani zozote za hakimil ki mahsusi (zikiwemo ilani za hakimilki na chapa-biashara) ambazo zimeambatishwa au zilizo ndani ya Huduma.</p>
70 <p>8.6 Isipokuwa umepewa idhini mahsusi na Google kwa maandishi kufanya hivyo, u nakubali kuwa katika kutumia Huduma, hautatumia chapa-biashara yoyote, alama za huduma, jina la biashara au nembo ya kampuni au shirika lolote kwa njia ambayo i naweza au inayonuiwa kuleta tashwishi kuhusu anayemiliki au mtumiaji aliyeidhini shwa wa alama, majina au nembo kama hizi.</p>
71 <p><strong>9. Leseni kutoka Google </strong></p>
72 <p>9.1 Google inakupatia leseni ya kibinafsi, ulimwenguni kote, bila malipo, isi yoweza kuhamiswa na isiyo mahsusi kutumia programu iliyotolewa kwako na Google k ama sehemu ya Huduma inavyotolewa kwako na Google (inaitwa “Programu” hapa chini ). Leseni hii na kwa madhumuni tu ya kukuwezesha kutumia na kufurahia manufaa ya Huduma jinsi zinavyotolewa na Google, katika njia iliyokubaliwa katika Masharti .</p>
73 <p>9.2 Kulingana na sehemu ya 1.2, huruhusiwi (na hupaswi kumruhusu mtu yeyote) kunakili, kubadilisha, kuunda kazi kutokana na, kufanya uhandisi kwa kupambua, k upambua au kwa vinginevyo kujaribu kudondoa hati fumbo asili ya programu au sehe mu yoyote yake, isipokuwa hii imeruhusiwa kimahsusi au kuhitajika kisheria, au i sipokuwa Google imekwambia kimahsusi kuwa waweza kufanya hivyo kwa maandishi.</p >
74 <p>9.3 Kulingana na sehemu ya 1.2, isipokuwa Google imekupatia ruhusa mahsusi kw a maandishi kufanya hivyo, hauruhusiwi kutoa (au kutoa leseni ndogo ya) haki zak o za kutumia Programu, kutoa maslahi ya usalama katika au juu ya haki zako za ku tumia Programu, au kwa vinginevyo kusihia sehemu yoyote ya haki zako za kutumia Programu.</p>
75 <p><strong>10. Leseni ya maudhui kutoka kwako</strong></p>
76 <p>10.1 Unahifadhi hakimilki na haki zingine zozote ambazo tayari unazo kwa Maud hui unayowasilisha, kuchapisha au kuonyesha kwenye au kupitia, Huduma.</p>
77 <p><strong>11. Sasisho za programu</strong></p>
78 <p>11.1 Programu unayotumia inaweza kupakua na kusakinisha sasisho kutoka Google kiatomatiki mara kwa mara. Sasisho hizi zimeundwa ili kuboresha, kukoleza na ku endeleza Huduma na zinaweza kuwa marekebisho ya hitilafu, uboreshaji wa utendaji , sehemu mpya za programu na matoleo mapya kabisa. Unakubali kupokea sasisho kam a hizo (na unaruhusu Google kuziwasilisha kwako) kama sehemu ya matumizi yako ya Huduma.</p>
79 <p><strong>12. Kumaliza uhusiano wako na Google</strong></p>
80 <p>12.1 Masharti haya yataendelea kutumika hadi yatanguliwe aidha nawe au na Goo gle kama ilivyoelezwa hapa chini.</p>
81 <p>12.2 Google inaweza, wakati wowote, kutangua mkataba wake wa kisheria nawe ik iwa:</p>
82 <p>(A) umekiuka kanuni yoyote ya Masharti (au umefanya mambo kwa njia inayoonyes ha waziwazi kuwa haunuii, au hauwezi kutii kanuni za Masharti); au</p>
83 <p>(B) Google inahitajika kufanya hivyo na sheria (kwa mfano, ambapo kutoa Hudum a kwano ni, au kumekuwa, sio halali kisheria); au</p>
84 <p>(C) mshirika ambaye Google alitoa huduma kwako naye ameumaliza uhusiano wake na Google au ameacha kutoa Huduma kwako; au</p>
85 <p>(D) Google inaelekea kuacha kutoa Huduma kwa watumiaji katika nchi unamoishi au unayotumia Huduma kutoka kwake; au</p>
86 <p>(E) Google kutoa Huduma kwako, kwa maoni ya Google, hakuna faida ya kibiashar a tena.</p>
87 <p>12.3 Hakuna chochote katika Sehemu hii kitakachoathiri haki za Google kuhusia na na utoaji wa Huduma chini ya Sehemu ya 4 ya Masharti haya.</p>
88 <p>12.4 Masharti haya yatakapokoma, na haki, wajibu na dhima zote za kisheria am bazo wewe na Google mmenufaika nazo, mmetii (au ambazo zimepatikana kwa muda amb ao Masharti yametumika) au ambayo yamesemwa kuwa yataendelea bila kikomo, hayata athiriwa na kukoma huku, na kanuni za aya ya 19.7 zitaendelea kutekeleza haki, w ajibu na dhima kam hizo bila kikomo.</p>
89 <p><strong>13. KUONDOLEWA KWA ARABUNI</strong></p>
90 <p>13.1 HAKUNA CHOCHOTE KATIKA MASHARTI HAYA, ZIKIWEMO SEHEMU ZA 13 NA 14, KITAK ACHOONDOA AU KUWEKA MPAKA ARABUNI AU DHIMA YA GOOGLE KWA HASARA AMBAZO HUENDA HA ZIJAONDOLEWA AU KUWEKWA MIPAKA NA SHERIA ZINAZOTUMIKA. MAENEO FULANI YA UTAWALA HAYARUHUSU KUONDOLEWA KWA ARABUNI AU MASHARTI FULANI AU KUONDOLEWA KWA DHIMA KWA HASARA AU UHARIBIFU UNAOSABABISHWA NA ULEGEVU, UKIUKAJI WA MKATABA AU UKIUKAJI WA MASHARTI YASIYOTAJWA AU FIDIA ZINAZOHUSIANA AU ZINAZOAMBATANA. KAMA IPASAVYO, MIPAKA ILIYO HALALI KISHERIA KATIKA ENEO LAKO LA UTAWALA ITATUMIKA KWAKO NA DHI MA YETU ITAKUWA NA KIKOMO KADRI INAYVYOKUBALIWA NA SHERIA.</p>
91 <p>13.2 UNAELEWA NA KUKUBALI KIMAHSUSI KUWA MATUMIZI YAKO YA HUDUMA NI KWA THUBU TU YAKO MWENYEWE TU NA KUWA HUDUMA ZINATOLEWA &quot;JINSI ZILIVYO&quot; NA “KAMA ZINAVYOPATIKANA.”</p>
92 <p>13.3 HUSUSAN, GOOGLE, KAMPUNI INAZOMILIKI NA WASHIRIKA WAKE NA WATOA LESENI W AKE HAWAWAKILISHI AU KUKUHAKIKISHIA KUWA:</p>
93 <p>(A) MATUMIZI YAKO YA HUDUMA YATATIMIZA MAHITAJI YAKO,</p>
94 <p>(B) MATUMIZI YAKO YA HUDUMA HAYATAKATIZWA, YATAPATIKANA KWA MUDA UFAAO, YATAK UWA SALAMA NA BILA HITILAFU,</p>
95 <p>(C) MAELEZO YOYOTE UNAYOYAPATA KUTOKANA NA MATUMIZI YAKO YA HUDUMA YATAKUWA S AHIHI AU YA KUTEGEMEKA, NA</p>
96 <p>(D) KUWA UPUNGUFU WOWOTE KATIKA UENDESHAJI AU UTENDAJI WA PROGRAMU INAYOTOLEW A KWAKO KAMA SEHEMU YA HUDUMA ITAREKEBISHWA.</p>
97 <p>13.4 KITU CHOCHOTE KILICHOPAKULIWA AU KUPATIKANA VINGINE KUPITIA MATUMIZI YA HUDUMA NI KWA HIARI NA THUBUTU YAKO MWENYEWE NA KUWA UTAWAJIBIKA PEKE YAKO KWA H ASARA YOYOTE KWA MFUMO WAKO WA KOMPYUTA AU KIFAA KINGINECHO AU KUPOTEZA DATA KUT OKANA NA KUPAKUA KITU CHOCHOTE KAMA HICHO.</p>
98 <p>13.5 HAKUNA MAWAIDHA WALA MAELEZO, YALIYOTAMKWA AU KUANDIKWA, YATAKAYOPATIKAN A NAWE KUTOKA KWA GOOGLE AU KUPITIA HUDUMA YATAUNDA ARABUNI YOYOTE ISIYOTAJWA KI MAHSUSI KATIKA MASHARTI.</p>
99 <p>13.6 GOOGLE VILEVILE INAKANUSHA KIMAHSUSI ARABUNI NA MASHARTI YA AINA YOYOTE, YAWE MAHSUSI AU YASIYOTAJWA, PAMOJA NA, NA SIO TU ARABUNI ZISIZOTAJWA NA MASHAR TI YA KUFAA KWA MAUZO, KUFAA KWA MADHUMUNI FULANI NA DHIDI YA UKIUKAJI.</p>
100 <p><strong>14. KIKOMO CHA DHIMA</strong></p>
101 <p>14.1 KULINGANA NA KANUNI KATIKA AYA YA 13.1 HAPO JUU, UNAELEWA KIMAHSUSI NA K UKUBALI KUWA GOOGLE, KAMPUNI INAZOMILIKI NA WASHIRIKA WAKE, NA WATOA LESENI WAKE HAWATAKUWA NA DHIMA KWAKO KWA:</p>
102 <p>(A) HASARA YOYOTE ILIYO NA ISIYO YA MOJA KWA MOJA, YA KUAMBATANA, MAHSUSI, AU YA ADHABU INAYOWEZA KUKUPATA, IWE IMESABABISHWA VIPI AU CHINI YA KANUNI YOYOTE YA DHIMA. HII ITAJUMUISHA, LAKINI SIO TU, KUPOTEZA FAIDA YOYOTE (IWE IMETOKEA KW A NJIA YA MOJA KWA MOJA AU LA), KUPOTEZA UFADHILI AU SIFA YOYOTE YA BIASHARA, KU POTEZA DATA YOYOTE, GHARAMA YA KUNUNUA BIDHAA AU HUDUMA MBADALA, AU HASARA NYING INEYO ISIYO DHAHIRI;</p>
103 <p>(B) HASARA AU UHARIBIFU UNAOWEZA KUKUPATA, IKIWEMO NA SIO TU HASARA AU UHARIB IFU KUTOKANA NA:</p>
104 <p>(I) KUTEGEMEA KWAKO UKAMILIFU, USAHIHI AU UWEPO WA MATANGAZO YOYOTE, AU KUTOK ANA NA UHUSIANO WOWOTE AU BIASHARA YOYOTE KATI YAKO NA MTANGAZAJI AU MDHAMINI YE YOTE AMBAYE MATANGAZO YAKE HUTOKEA KWENYE HUDUMA;</p>
105 <p>(II) MABADILIKO YOYOTE AMBAYO GOOGLE INAWEZA KUFANYA KWA HUDUMA, AU KUSITISHW A KWA MUDA AU KABISA KWA UTOAJI WA HUDUMA (AU VIPENGEE VYOVYOTE KATIKA HUDUMA);< /p>
106 <p>(III) KUFUTWA, KUHARIBIWA AU KUSHINDWA KUHIFADHIWA, KWA MAUDHUI YOYOTE AU DAT A YOYOTE YA MAWASILIANO INAYODUMISHWA AU KUWASILISHWA NA AU KUPITIA MATUMIZI YAK O YA HUDUMA;</p>
107 <p>(IV) KUSHINDWA KWAKO KUTOA MAELEZO SAHIHI YA AKAUNTI KWA GOOGLE;</p>
108 <p>(V) KUSHINDWA KWAKO KUHIFADHI MAELEZO YA NENOSIRI LAKO NA AKAUNTI YAKO KWA US ALAMA NA SIRI;</p>
109 <p>14.2 MIPAKA YA DHIMA YA GOOGLE KWAKO KATIKA AYA YA 14.1 HAPO JUU ITATUMIKA IK IWA GOOGLE IMEJULISHWA AU INGESTAHILI KUFAHAMU UWEZEKANO WA HASARA KAMA HIZO KUT OKEA AU LA.</p>
110 <p><strong>15. Sera za hakimilki na chapa biashara</strong></p>
111 <p>15.1 Ni sera ya Google kujibu arifa za ukiukaji wa hakimilki zinazotii sheria za hakimilki za kimataifa zinazohusika (ikiwemo, Marekani, Sheria ya Millennia ya Hakimilki Tarakinishi) na kufunga akaunti za wanaorudia ukiukaji. Maelezo ya sera ya Google yanaweza kupatikana kwenye http://www.google.com/dmca.html.</p>
112 <p>15.2 Google hutumia utaratibu wa malalamishi kuhusu chapa-biashara kuhusiana na shughuli za utangazaji za Google, maelezo yake ambayo yanapatikana http://www .google.com/tm_complaint.html.</p>
113 <p><strong>16. Matangazo</strong></p>
114 <p>16.1 Baadhi ya Huduma zinadhaminiwa na mapato kutoka kwa matanagazo na zinawe za kuonyesha matangazo na kampeni za matangazo. Matangazo hayo yanaweza kuwa yan alenga maudhui ya maelezo yaliyohifadhiwa kwenye Huduma, hoja zilizoulizwa kupit ia Huduma au maelezo mengineyo.</p>
115 <p>16.2 Mbinu, hali na kiwango cha matangazo kutoka kwa Google kwenye Huduma kin aweza kubadilika bila ilani mahsusi kwako.</p>
116 <p>16.3 Kwa sababu Google inakuruhusu kupata na kutumia Huduma, unakubali kuwa G oogle inaweza kuweka matangazo kama hayo kwenye Huduma.</p>
117 <p><strong>17. Maudhui mengineyo</strong></p>
118 <p>17.1 Huduma zinaweza kujumuisha viungo kwa tovuti zingine, maudhui au nyenzo zingine. Google huenda isiwe na udhibiti wowote juu ya tovuti zozote au nyenzo z inazotolewa na watu au kampuni tofauti na Google.</p>
119 <p>17.2 Unatambua na kukubali kuwa Google haiwajibiki kwa upatikanaji wa tovuti zozote au raslimali kama hizo za nje, na haiidhinishi matangazo, bidhaa au vitu vyovyote kwenye au vinavyopatikana kwenye tovuti au nyenzo hizo.</p>
120 <p>17.3 Unatambua na kukubali kuwa Google haiwajibiki kwa hasara au uharibifu wo wote unaoweza kukupata wewe kwa sababau ya upatikanaji wa tovuti au raslimali hi zo za nje, au kutokana nawe kutegemea kwa vyovyote ukamilifu, usahihi au uwepo w a matangazo, bidhaa au vitu vyoyvote kwenye, au kutoka kwa, tovuti au nyenzo kam a hizo.</p>
121 <p><strong>18. Mabadiliko kwa Masharti</strong></p>
122 <p>18.1 Google inaweza kufanya mabadiliko kwa Masharti ya Kijumla au Masharti ya Ziada mara kwa mara. Mabadiliko hayo yanapofanywa, Google itatoa nakala mpya ya Masharti ya Kijumla kwenye http://accounts.google.com/TOS?hl=en na Masharti yoy ote mapya ya Ziada yatatolewa kwako kutoka ndani, au kupitia, Huduma zilizoathir ika.</p>
123 <p>18.2 Unaelewa na kukubali kuwa ikiwa utatumia Huduma baada ya tarehe Masharti ya Kijumla au Masharti ya Kijumla kubadilika, Google itachukulia matumizi yako kuwa kukubali kwa Sheria na Mashati au Masharti ya Ziada yaliyosasishwa.</p>
124 <p><strong>19. Masharti ya kijumla ya kisheria</strong></p>
125 <p>19.1 Wakati mwingine ukitumia Huduma, unaweza (kwa sababu ya, au kuhusiana na matumizi yako ya Huduma) kutumia huduma au kupakua programu, au kununua bidhaa, zinazotolewa na mtu au kampuni nyingine. Matumizi yako ya huduma, programu au b idhaa hizi zingine zinaweza kuwa chini ya masharti tofauti katika yako na kampun i au mtu anayehusika. Ikiwa ni hivyo, Masharti haya hayaathiri uhusiano wako wa kisheria na kampuni hizo au watu hao wengine.</p>
126 <p>19.2 Masharti haya yanajumuisha mkataba wote wa kisheria kati yako na Google na yanatawala matumizi yako ya Huduma (lakini haijumishi huduma zozote ambazo Go ogle inatoa kwako chini ya mkata tofauti ulioandikwa), na inachukua kabisa nafas i ya mikataba yoyote ya awali kati yako na Google kuhusiana na Huduma.</p>
127 <p>19.3 Unakubali kuwa Google inaweza kukupatia ilani, pamoja na zile zinazohusu mabadiliko kwa Masharti, kwa barua pepe au machapisho kwenye Huduma.</p>
128 <p>19.4 Unakubali kuwa ikiwa Google haitatumia au kutekeleza haki yoyote au sulu hu ya kisheria iliyo katika Masharti (au ambayo Google inafaidika nayo chini ya sheria yoyote inayotumika), hii haitachukuliwa kuwa Google imesalimu kirasmi hak i zake na kuwa Google bado itaweza kupata haki na suluhu hizo.</p>
129 <p>19.5 Ikiwa mahakama yoyote ya sheria, iliyo na mamlaka ya kuamua kuhusu swala hili, itaamua kuwa kanuni yoyote ya Masharti haya sio halali, basi kanuni hiyo itaondolewa kwenye Masharti bila kuathiri Masharti yaliyosalia. Kanuni za Mashar ti zilizosalia zitaendelea kuwa halali na kutumika.</p>
130 <p>19.6 Unatambua na kukubali kuwa kila mshirika wa kundi la kampuni ambalo Goog le ndio mmiliki atakuwa mfaidi wa nje wa Masharti haya na kuwa kampuni zingine k ama hizo zitakuwa na haki ya kutekeleza moja kwa moja, na kutegemea, kanuni zozo te za Masharti zinazokidhi manufaa juu (au haki kwa faida) yao. Isipokuwa hawa, hakuna mtu au kampuni nyinginee itakayokuwa mfaidi wa nje wa Masharti haya.</p>
131 <p>19.7 Masharti, na uhusiano wako na Google chini ya Masharti hayo, yatasimamiw a na sheria za Jimbo la California bila kuzingatia kanuni zake kwa sheria pinzan i. Wewe na Google mnakubali kutii mamlaka ya mahakama zilizo katika wilaya ya Sa nta Clara, California peke yake kutatua swala lolote la kisheria litakalotokea k utokana na Masharti haya. Licha ya hayo, unakubali kuwa Google bado itaruhusiwa kufanya maombi ya suluhu za vizuizi (au aina sawa ya suluhu la dharura la kisher ia)</p>
132 <p><strong>20. Masharti ya Ziada kwa Viendelezi vya Google Chrome</strong></p>
133 <p>20.1 Masharti katika sehemu hii yanatumika ukisakinisha viendelezi kwenye nak ala yako ya Google Chrome. Viendelezi ni programu ndogo, zilizoundwa na Google a u watu wengine, zinazoweza kubadilisha au kuboresha utendaji wa Google Chrome. V iendelezi vinaweza kuwa mfiko zaidi kwa kivinjari chako au kompyuta yako kuliko kurasa za wavuti za kawaida, ukiwemo uwezo wa kusoma na kubadilisha sehemu ya da ta yako ya kibinafsi.</p>
134 <p>20.2 Mara kwa mara, Google Chrome inaweza kuchunguza seva za mbali (zilizopan gishwa na Google au wengine) kupata sasisho kwa viendelezi, yakiwemo lakini sio tu marekebisho ya hitilafu au kuboresha utendaji. Unakubali kuwa sasisho kama hi zo zitaitishwa, kupakuliwa na kusakinishwa bila ya kukuarifu tena.</p>
135 <p>20.3 Mara kwa mara, Google inaweza kugundua kiendelezi kinachokiuka masharti ya Google kwa wasanidi programu au mikataba ya kisheria, sheria, kanuni au sera zingine. Google Chrome itapakua orodha ya viendelezi kama hivyo kutoka kwenye se va za Google. Unakubali kuwa Google inaweza kulemaza au kuondoa kwa mbali viende lezi kama hivyo kutoka kwenye mifumo ya watumizi kwa hiari yake pekee. </p>
136 <p>Tarehe 20 Oktoba, 2009</p>
137 </body>
138 </html>
OLDNEW
« no previous file with comments | « chrome/app/resources/terms/terms_sv.html ('k') | chrome/app/resources/terms/terms_ta.html » ('j') | no next file with comments »

Powered by Google App Engine
This is Rietveld 408576698