OLD | NEW |
1 <!DOCTYPE HTML PUBLIC "-//W3C//DTD HTML 4.01 Transitional//EN" | 1 <!DOCTYPE HTML PUBLIC "-//W3C//DTD HTML 4.01 Transitional//EN" |
2 "http://www.w3.org/TR/html4/loose.dtd"> | 2 "http://www.w3.org/TR/html4/loose.dtd"> |
3 <html DIR="LTR"> | 3 <html DIR="LTR"> |
4 <head> | 4 <head> |
5 <meta http-equiv="Content-Type" content="text/html; charset=UTF-8"> | 5 <meta http-equiv="Content-Type" content="text/html; charset=UTF-8"> |
6 <link rel="icon" type="image/ico" href="/tools/dlpage/res/chrome/images/chrome-1
6.png"><title>Sheria na Masharti ya Google Chrome</title> | 6 <link rel="icon" type="image/ico" href="/tools/dlpage/res/chrome/images/chrome-1
6.png"><title>Sheria na Masharti ya Google Chrome</title> |
7 <style> | 7 <style> |
8 body { font-family:Arial; font-size:13px; } | 8 body { font-family:Arial; font-size:13px; } |
9 </style> | 9 </style> |
10 <script type="text/javascript"> | 10 <script type="text/javascript"> |
(...skipping 118 matching lines...) Expand 10 before | Expand all | Expand 10 after Loading... |
129 <p>19.5 Ikiwa mahakama yoyote ya sheria, iliyo na mamlaka ya kuamua kuhusu swala
hili, itaamua kuwa kanuni yoyote ya Masharti haya sio halali, basi kanuni hiyo
itaondolewa kwenye Masharti bila kuathiri Masharti yaliyosalia. Kanuni za Mashar
ti zilizosalia zitaendelea kuwa halali na kutumika.</p> | 129 <p>19.5 Ikiwa mahakama yoyote ya sheria, iliyo na mamlaka ya kuamua kuhusu swala
hili, itaamua kuwa kanuni yoyote ya Masharti haya sio halali, basi kanuni hiyo
itaondolewa kwenye Masharti bila kuathiri Masharti yaliyosalia. Kanuni za Mashar
ti zilizosalia zitaendelea kuwa halali na kutumika.</p> |
130 <p>19.6 Unatambua na kukubali kuwa kila mshirika wa kundi la kampuni ambalo Goog
le ndio mmiliki atakuwa mfaidi wa nje wa Masharti haya na kuwa kampuni zingine k
ama hizo zitakuwa na haki ya kutekeleza moja kwa moja, na kutegemea, kanuni zozo
te za Masharti zinazokidhi manufaa juu (au haki kwa faida) yao. Isipokuwa hawa,
hakuna mtu au kampuni nyinginee itakayokuwa mfaidi wa nje wa Masharti haya.</p> | 130 <p>19.6 Unatambua na kukubali kuwa kila mshirika wa kundi la kampuni ambalo Goog
le ndio mmiliki atakuwa mfaidi wa nje wa Masharti haya na kuwa kampuni zingine k
ama hizo zitakuwa na haki ya kutekeleza moja kwa moja, na kutegemea, kanuni zozo
te za Masharti zinazokidhi manufaa juu (au haki kwa faida) yao. Isipokuwa hawa,
hakuna mtu au kampuni nyinginee itakayokuwa mfaidi wa nje wa Masharti haya.</p> |
131 <p>19.7 Masharti, na uhusiano wako na Google chini ya Masharti hayo, yatasimamiw
a na sheria za Jimbo la California bila kuzingatia kanuni zake kwa sheria pinzan
i. Wewe na Google mnakubali kutii mamlaka ya mahakama zilizo katika wilaya ya Sa
nta Clara, California peke yake kutatua swala lolote la kisheria litakalotokea k
utokana na Masharti haya. Licha ya hayo, unakubali kuwa Google bado itaruhusiwa
kufanya maombi ya suluhu za vizuizi (au aina sawa ya suluhu la dharura la kisher
ia)</p> | 131 <p>19.7 Masharti, na uhusiano wako na Google chini ya Masharti hayo, yatasimamiw
a na sheria za Jimbo la California bila kuzingatia kanuni zake kwa sheria pinzan
i. Wewe na Google mnakubali kutii mamlaka ya mahakama zilizo katika wilaya ya Sa
nta Clara, California peke yake kutatua swala lolote la kisheria litakalotokea k
utokana na Masharti haya. Licha ya hayo, unakubali kuwa Google bado itaruhusiwa
kufanya maombi ya suluhu za vizuizi (au aina sawa ya suluhu la dharura la kisher
ia)</p> |
132 <p><strong>20. Masharti ya Ziada kwa Viendelezi vya Google Chrome</strong></p> | 132 <p><strong>20. Masharti ya Ziada kwa Viendelezi vya Google Chrome</strong></p> |
133 <p>20.1 Masharti katika sehemu hii yanatumika ukisakinisha viendelezi kwenye nak
ala yako ya Google Chrome. Viendelezi ni programu ndogo, zilizoundwa na Google a
u watu wengine, zinazoweza kubadilisha au kuboresha utendaji wa Google Chrome. V
iendelezi vinaweza kuwa mfiko zaidi kwa kivinjari chako au kompyuta yako kuliko
kurasa za wavuti za kawaida, ukiwemo uwezo wa kusoma na kubadilisha sehemu ya da
ta yako ya kibinafsi.</p> | 133 <p>20.1 Masharti katika sehemu hii yanatumika ukisakinisha viendelezi kwenye nak
ala yako ya Google Chrome. Viendelezi ni programu ndogo, zilizoundwa na Google a
u watu wengine, zinazoweza kubadilisha au kuboresha utendaji wa Google Chrome. V
iendelezi vinaweza kuwa mfiko zaidi kwa kivinjari chako au kompyuta yako kuliko
kurasa za wavuti za kawaida, ukiwemo uwezo wa kusoma na kubadilisha sehemu ya da
ta yako ya kibinafsi.</p> |
134 <p>20.2 Mara kwa mara, Google Chrome inaweza kuchunguza seva za mbali (zilizopan
gishwa na Google au wengine) kupata sasisho kwa viendelezi, yakiwemo lakini sio
tu marekebisho ya hitilafu au kuboresha utendaji. Unakubali kuwa sasisho kama hi
zo zitaitishwa, kupakuliwa na kusakinishwa bila ya kukuarifu tena.</p> | 134 <p>20.2 Mara kwa mara, Google Chrome inaweza kuchunguza seva za mbali (zilizopan
gishwa na Google au wengine) kupata sasisho kwa viendelezi, yakiwemo lakini sio
tu marekebisho ya hitilafu au kuboresha utendaji. Unakubali kuwa sasisho kama hi
zo zitaitishwa, kupakuliwa na kusakinishwa bila ya kukuarifu tena.</p> |
135 <p>20.3 Mara kwa mara, Google inaweza kugundua kiendelezi kinachokiuka masharti
ya Google kwa wasanidi programu au mikataba ya kisheria, sheria, kanuni au sera
zingine. Google Chrome itapakua orodha ya viendelezi kama hivyo kutoka kwenye se
va za Google. Unakubali kuwa Google inaweza kulemaza au kuondoa kwa mbali viende
lezi kama hivyo kutoka kwenye mifumo ya watumizi kwa hiari yake pekee. </p> | 135 <p>20.3 Mara kwa mara, Google inaweza kugundua kiendelezi kinachokiuka masharti
ya Google kwa wasanidi programu au mikataba ya kisheria, sheria, kanuni au sera
zingine. Google Chrome itapakua orodha ya viendelezi kama hivyo kutoka kwenye se
va za Google. Unakubali kuwa Google inaweza kulemaza au kuondoa kwa mbali viende
lezi kama hivyo kutoka kwenye mifumo ya watumizi kwa hiari yake pekee. </p> |
136 <p>Tarehe 20 Oktoba, 2009</p> | 136 <p>Tarehe 20 Oktoba, 2009</p> |
137 </body> | 137 </body> |
138 </html> | 138 </html> |
OLD | NEW |